Mkurugenzi wa Idara ya Habari
–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi akizungumza na
Menejimenti ya wafanyakazi wa Wakala wa Usajili wa Leseni na Biashara
(BRELA) alipotembelea kwa zira ya kikazi iliyofanyika Jijini Dar es
Salaam, Septemba 4, 2019.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi, akisistiza
jambo kwa Menejimenti ya wafanyakazi wa Wakala wa Usajili wa Leseni na
Biashara (BRELA) alipotembelea kwa zira ya kikazi Septemba 4, 2019.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi, akifurahia
jambo na wafanyakazi wa Wakala waUsajili wa Leseni na Biashara (BRELA)
pamoja na Viongozi Chama cha Maafisa Mawasiliano na Mahusiano
Serikalini(TAGCO) wakati wa zaira ya kikazi iliyofanyika Jijini Dar es
Salaam, Septemba 4, 2019.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serilkali, Dkt.Hassan Abbasi, akiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wakala wa Usajili wa Leseni na
Biashara (BRELA) pamoja na Viongozi Chama cha Maafisa Mawasiliano na
Mahusiano Serikalini(TAGCO) wakati wa zaira ya kikazi iliyofanyika
Jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2019.
Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.