NAMNA WILAYA YA SIHA ILIVYOTEKELEZA MIRADI YA AFYA NA MIUNDOMBINU YA BARABARA


Pichani ni hospital ya wilaya ya siha kama inavyoonekana kwa mbele ikiwa ni utekelezaji wa serikali ya awamu ya tano kwenye sekta ya Afya kama ilivyokutwa na kamera yetu wilayani Siha mwishoni mwa wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Siha
Maeneo mbali mbali ya majengo sita likiwemo jengo la mama na motto ambalo lipo kwenye hatua ya kupauliwa kama lilivyokutwa na kamera ya matukio wilayani Siha mwishoni mwa wiki picha na Ahmed Mahmoud Sih
Add caption

Pichani ni barabara ya Siha hadi kamwanga baada ya kuwekwa lami moja ya mambo ambayo wananchi wa Siha wanaishukuru serikali ya Awamu ya tano kwa mradi huo uliowapunguzia gharama za usafiri picha na Ahmed Mahmoud Siha

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post