Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipiga ngoma kuashiria ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lililoanza
Septemba 21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari
limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala
(Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akifungua Tamasha la JAMAFEST lililoanza Septemba 21-28, 2019 katika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa
nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari limefanyika katika nchi tatu,
Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala (Uganda) na sasa linafanyika
Dar es Salaam, Tanzania.
Waziri
wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe
akizungumza wakati ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lililoanza Septemba
21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Tamasha la
Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari
limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala
(Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Michezo na Utamaduni wa Rwanda Mhe. John Ntigengwa
akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lililoanza
Septemba 21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari
limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala
(Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo na
Utamaduni wa Rwanda Mhe. John Ntigengwa (kulia) mara baada ya kufika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Msanii wa muziki wa Bongofleva Diamond Platnumz
wakati wa ufunguzi wa Tamasha la #JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es
Salaam, Tanzania kuanzia Septemba 21-28, 2019.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan (kushoto) akisalimia wananchi mara baada ya kufika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam, Tanzania katika ufunguzi wa JAMAFEST.
Meza kuu...
Brass
Bendi ikiongoza nyimbo za Taifa za mataifa ya #Tanzania #Kenya #Uganda
#Burundi #Rwanda wakati wa uzinduzi wa Tamasha la #JAMAFEST2019
#JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Bendera za mataifa yanayoshiriki Tamasha la #JAMAFEST 2019
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya Diamond Platnumz akitoa burudani wakati wa
Ufunguzi wa Tamasha la #JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Burudani
ya ngoma kutoka #Tanzania #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda ikipamba moto
katika uwanja wa Uhuru wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST.
Ngoma ya #Burundi ikipamba moto wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Ngoma ya #Kenya ikipamba moto wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Ngoma ya #Uganda ikipamba moto wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Burudani
ya ngoma kutoka #Tanzania #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda ikipamba moto
katika uwanja wa Uhuru wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST.