Roberto Pereyra akishangilia baada ya kuifungia Watford bao
la kusawaziwsha dakika ya 81 kwa penalti ikitoa sare ya 2-2 na Arsenal
kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo ambao ni wa kwanza baada ya
Quique Sanchez Flores kurejea Vicarage Road. Mabao ya Arsenal yamefungwa
na Pierre-Emerick Aubameyang dakika za 21 na 32 wakati la kwanza la
Watford limefungwa na Tom Cleverley