NAIBU WASAJILI NA MAHAKIMU WAKAZI KUKABIDHIWA NYEZO ZA KAZI, WAAPISHWA

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati (wa kwanza (kushoto) akiwa katika hafla hiyo na watumishi wengine wa Mahakama ya Tanzania.

Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika hafla hiyo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akionesha kitabu cha maadili , wakati akizungumza na Naibu Wasajili wa Mahakama, walioapishwa leo  na Mahakimu Wakazi Wafawidhi waliokabidhiwa Nyenzo za kazi kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi, likiwemo suala la kuzingatia maadili ya kazi zao. (Kushoto) ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kulia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Beatrice Mutungi.

aji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimkabidhi Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mhe Daniel Malik nyenzo za kazi.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof Ibrahim Hamis Juma (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Wasajili aliowaapisha leo. (Kushoto) ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kulia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Beatrice Mutungi.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post