RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA VWAWA MKOANI SONGWE


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbozi wakati akitoka kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa huduma ya maji  Vwawa mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi vya ngoma za asili kabla ya kuwahutubia wananchi wa Vwawa mkoani Songwe.
Wananchi wa Mbozi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akiwahutubia katika mji wa Vwawa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Momba (Chadema) David Silinde mara baada ya kuwahutubia wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe. PICHA NA IKULU

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post