VODACOM TANZANIA PLC YAWAFIKISHIA HUDUMA KARIBU WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR
byARUSHA PRESS CLUB (A.P.C)-
Mkurugenzi
wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Mzee
Suleiman Mndewa akikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom
lililoko jengo la Muzamill Centre, Mjini Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mkuu
wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani, George Venanty na
Saleh Omar AlsheikhKaimu
Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani, George
Venanty akielezea huduma zinazotolkewa na duka hilo kwa Mkurugenzi wa
Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Mzee
Suleiman Mndewa kabla ya kukata keki ya uzinduzi.Wafanyakazi wa duka jipya la Vodacom lililoko jengo la Muzamil Centre, Mlandege mjini Zanzibar wakiwa kwenye picha ya pamoja.Keki
inayoashiria uwepo wa mtandao wenye kasi ya 4G kutoka kampuni
inayoongoza kwa mapinduzi ya kidijitali ya Vodacom Tanzania Plc mjini
Zanzibar