Mwanaume mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha Hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda.
Mwanamke
huyo mgonjwa hakuweza kupata Bodaboda au usafiri mwingine kufuatia
usafiri wa umma kupigwa marufuku na Rais Museveni ili kuzuia corona
kusambaa.
Credit/ Picha: Daily Monitor