SERIKALI YAWATAKA MAAFISA BIASHARA NA AFYA KUSAIDIA WANANCHI KUBORESHA BIDHAA ZAO.


Serikali mkoani Mwanza ameonya na kukemea maafisa biashara na maafisa afya kwa ngazi ya mikoa na Halmashauri mkoani humo kuacha kuwatisha na kuomba rushwa kwa kigezo cha kutumia kanuni ya miongozo ya namna ya utekezaji wa usimamizi wa vipodozi pamoja na vyakula.


Rai hiyo imetolewa jijini humo na katibu tawala msaidizi wa mkoa wa Mwanza Daniel Machunda wakati wa mafunzo ya yaliyoandaliwa na shirika la viwango Tanzania -  ( TBS ) yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa kuwafundisha kukidhi kanuni  na vigezo vinavyohitajika na TBS.


Mkurungenzi wa Ubora  ( TBS ) Tanzania akatoa wito kwa watendaji wa Serikali kuelimisha umma juu ya masuala yanayohusu uwekaji na usimamizi wa viwango vya pamoja na uthibiti wa ubora wa bidhaa.



Nao baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakawa na maoni kuhusiana na mafunzo hayo amelipongeza shirika hilo kwa kutoa mafunzo hayo na kusema yakuwa chachu kubwa kwao kwa ajili ya kuwaelisha wananchi kutambua umuhimu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post