Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi,
mgeni rasmi katikati akizindua rasmi taasisi ya habari za mtandaoni Malula TV
usiku wa kuamkia leo siku ya Jumanne Julai 11,2023.
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
amempongeza Daniesa Malula kwa kuanzisha Online TV taasisi ambayo itatoa ajira
kwa vijana Nchini.
Mhe. Katambi ameyasema hayo akiwa mgeni rasmi kwenye
hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula TV iliyofanyika katika ukumbi wa Malula
Center uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla hiyo imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumanne
Julai 11,2023 na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali, taasisi binafsi pamoja,
wadau mbalimbali pamoja na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga.
Mbunge Mhe. Katambi pamoja na mambo mengine ametumia
nafasi hiyo kumpongeza Mkurugenzi wa Malula TV kwa ubunifu na uthubutu wake wa
kuambua kuanzisha taasisi ya habari ambayo itatoa fursa mbalimbali hasa kwa
vijana Nchini.
Katambi amemsihi Mkurugenzi wa Malula TV, Bwana
Daniesa Malula kutokukata tamaa huku akimsisitiza kutekeleza majukumu yake kwa
kuzingatia sheria, taratibu na kanuni za Nchini.
Aidha Mhe. Katambi ameahidi kuendelea kushirikiana
naye ambapo amesema atahakikisha changamoto zilizopo anazipunguza au kumaliza
kabisa ndani ya muda mfupi ili kutekeleza majukumu yake bila vikwazo.
Ametumia nafasi hiyo pia kuwaomba vijana wengine
Nchini kuiga mfano huo wa Bwana Daniesa Malula kwa lengo la kuinua uchumi wao
na Taifa kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi na wadau mbalimbali ikiwemo Naibu
meya wa Manispaa ya Shinyanga ambaye pia ni Diwani wa kata ya Ndala Mhe. Zamda
Shabani pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini Bwana Jonathan
Madete wamempongeza Mkurugenzi wa Malula TV, Bwana Daniesa Malula kwa
kufanikiwa kuanzisha taasisi ya habari ambayo itasabaza habari mitandaoni.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Malula TV, Bwana Daniesa
Malula amesema taasisi yake atahakikisha inatekeleza majukumu yake kwa
kuzingatia sheria na kanuni za tasnia ya habari Nchini.
TAZAMA PICHA ZOTE
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
awali akipokelewa na Mkurugenzi wa Malula Tv Bwana Daniesa Malula upande wa
kulia.
Mkurugenzi wa Malula Tv, Bwana Daniesa Malula upande wa
kushoto akiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mbunge wa jimbo la
Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye
ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi baada ya kuwasili katika hafla ya
uzinduzi rasmi wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.
Mkurugenzi wa Malula Tv, Bwana Daniesa Malula upande wa
kushoto akiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mbunge wa jimbo la
Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye
ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi upande wa kulia ni naibu meya wa Manispaa
ya Shinyanga ambaye pia ni Diwani wa kata ya Ndala Mhe. Zamda Shabani.
Mgeni rasmi Mbunge
wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira
na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi akikata utepe katika ofisi za makamu
makuu ya Malula Tv kata ya Kitangili mjini Shinyanga.
Mkurugenzi wa Malula Tv, Bwana Daniesa Malula
akionyesha hatua mbalimbali za ofisi kuu ya Malula Tv.

Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Msanii wa Bongo fleva wa Mkoa wa Shinyanga Nyasan akitoa burudani ya wimbo katika hafla ya uzinduzi wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.
Msanii wa Bongo fleva wa Mkoa wa Shinyanga Sheddy The
Mix akitoa burudani ya wimbo katika hafla ya uzinduzi wa Malula Tv usiku wa
kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.
Mtangazaji wa Malula Tv, Timoth Josephat (Capten
Becka) akisoma risala kwenye hafla ya uzinduzi wa Malula Online Tv usiku wa
kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.
Mtangazaji wa Malula Tv, Timoth Josephat (Capten
Becka) akikabidhi risala kwa Mgeni rasmi Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini
naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe.
Paschal Patrobas Katambi usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Katibu wa mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Bwana
Samwel Jackson akitambulisha viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye uzinduzi
wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini Jonathan
Madete akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Malula Online Tv usiku wa kumkia
leo Jumanne Julai 11,2023.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
akimpongeza Mkurugenzi wa tasisi ya Malula Online Tv kwa ubunifu huo.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo
Jumanne Julai 11,2023.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo
Jumanne Julai 11,2023.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo
Jumanne Julai 11,2023.
Hafla ya uzinduzi rasmi wa Malula Online Tv ikiendelea
usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023 katika ukumbi wa Malula Center
uliopo kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu waziri ofisi
ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi
akiwa katika zoezi la uzinduzi rasmi wa Malula Tv usiku wa kuamkia leo Jumanne Julai 11,2023.

akiwa katika zoezi la kukabidhi vyeti vya pongezi ambavyo vimeandaliwa na
Mkurugenzi wa Malula Tv, Bwana Daniesa Malula.

Mgeni rasmi, Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini naibu
waziri ofisi ya waziri Mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal
Patrobas Katambi akiwa katika picha ya pamoja.