
1.African Banking Corporation (T) Limited TSH 145 milioni 2. Equity Bank (Tanzania) Limited TSH 580 milioni
3. I&M Bank (T) Limited TSH 655 milioni
4. UBL Bank (T) Limited TSH 325 milioni
5. Habib African Bank Limited TSH 175 milioni
Pamoja na faini hizo, Benki Kuu ya Tanzania imezitaka benki hizo kutekeleza yafuatayo ndani ya kipindi cha miezi mitatu toka tarehe faini zilipotozwa:
BENKI KUU YA TANZANIA
botcommunications@bot.go.tz
19 SEPTEMBA 2019
Pamoja na faini hizo, Benki Kuu ya Tanzania imezitaka benki hizo kutekeleza yafuatayo ndani ya kipindi cha miezi mitatu toka tarehe faini zilipotozwa:
- Kupitia upya taarifa za wateja wao na kuhakikisha kwamba zinakidhi matakwa ya kisheria na kanuni zilizopo za uhakiki wa utambulisho wa wateja (KYC);
- Kuwasilisha taarifa ya miamala yenye kuleta mashaka ambayo ilitakiwa kuwasilishwa FIU;
- Kufanya tathmini ya ubora wa mifumo ya ndani ya kibenki na kuchukua hatua stahiki kuhakikisha kuwa mifumo hiyo ipo madhubuti kwa lengo la kukinga mapungufu hayo hayarudii tena; na
- Kuwachukulia hatua stahili za kinidhamu, wafanyakazi wote waliohusika kufanikisha ufunguaji wa akaunti za amana kinyume na kanuni za kumtambua mteja (KYC).
BENKI KUU YA TANZANIA
botcommunications@bot.go.tz
19 SEPTEMBA 2019
