Rais wa Yoweri Museven wa Uganda
akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Jijini Dar Es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara yake ya
kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa
Yoweri Museven wa Uganda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara
yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza Rais wa
Yoweri Museven wa Uganda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara
yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Yoweri Museven
wa Uganda wakiwapungia mikono Wananchi mbalimbali waliofika kwa ajili ya
kumuaga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini
Dar Es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi
ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Elimu Sayansi
na Teknolojia Prof. Joice Ndalichako na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi
wakipungia mikono Ndege iliyombeba Rais Yoweri Museven wa Uganda kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo
Sept 07,2019 baada ya Rais Museven kukamilisha Ziara yake ya kikazi ya
siku Tatu hapa Nchini
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)