RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa UTPC
Deogratias Nsokolo alipowasili katika viwanja vya ukumbi Idris Abdul
Wakili Vuga Mjini Zanzibar katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama
wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika
leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa
Sweden Nchini Tanzania Anders Sjøberg alipowasili katika viwanja vya
ukumbi Idris Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar leo katika ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari
Tanzania-UTPC
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano
Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari
Tanzania-UTPC wakiwa katika ufunguzi mkutano huo uliofunguliwa leo na
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika ukumbi Idrisa Abdul Wakili Vuga Mjini
Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu
wa Wanachama wa Muungano wa klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC
wakiwa katika ukumbi Idrisa Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar katika
ufunguzi wa mkuitano huo uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi
wengine katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za
Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi Idris
Abdul Wakili, Vuga Mjini Zanzibar,(wa tatu kulia) Rais wa UTPC
Deogratias Nsokolo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake
katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za
Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris
AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake
katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za
Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris
AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake
katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za
Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris
AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 07/09/2019.