Naibu Waziri wa Kilimo, Husseis
Bashe (wa pili kulia) akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu
wa Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda (kulia) kukagua sehemu ya
mitambo ya kiwanda cha kuchakata pamba Manawa kilichopo Kata ya Misasi
wilayani Misungwi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Septemba 27, 2019 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alitembelea kiwanda hiki
Mwonekano wa baadhi ya mitambo
katika kiwanda cha kuchakata pamba Manawa kilichopo wilayani Misungwi
ambacho tangu mwaka 2014 kilisitisha shughuli zake.