HERI YA KUZALIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JOHN POMBE MAGUFULI
byARUSHA PRESS CLUB (A.P.C)-
Leo Oktoba 29, 2019, Rais Magufuli anasherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
Rais Magufuli alizaliwa tarehe kama ya
leo Oktoba 29, 1959 na ametimiza miaka 60, tunamtakia afya njema na
Mungu azidi kumuongoza katika majukumu yake.