RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NACHINGWEA MKOA LINDI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.
Sehemu ya Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Nachingwea mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Ikungu Nachingwea mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hotuba yake kabla ya kuzungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.
PICHA NA IKULU

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post