Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Lawatahadharisha Wananchi kutothubutu kuvuka kwenye madaraja Yaliyojaa Maji...
byARUSHA PRESS CLUB (A.P.C)-
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linawatahadharisha wananchi kutothubutu kuvuka kwenye madaraja au makaravati yaliyofunikwa na maji kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kusombwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.