Dkt. Abbasi Akutana na Kufanya Mzungumzo na Waziri Dkt. Mwakyembe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimueleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiagana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma.

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post