Picha : MUONEKANO WA UWANJA WA MAJENGO, MOSHI BAADA YA IBADA YA MTUME MWAMPOSA KUKANYAGA MAFUTA YA UPAKO
byARUSHA PRESS CLUB (A.P.C)-
Muonekano
wa Uwanja wa Majengo, Moshi baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na
Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 kufariki dunia
walipokanyagana wakipita kwenye ‘mafuta ya upako’.