![]() |
Sehemu ya washiriki wa maandamano ya kuadhimisha siku ya wanawake Jiji la Arusha yalioadhimishwa kwenye uwanja wa sheikh Amri Kaluta Abeid Jijini Hapa leo.picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha. |
![]() |
Wakinamama wakishangilia na kucheza kwenye maadhimisho ya siku yao leo jijini Arusha picha Mahmoud Ahmad Arusha. |
![]() |
Sehemu ya bango la Taasisi ya maendeleo Tengeru wakiwa kwenye maandamano ya siku ya wanawake mkoa wa Arusha iliyofanyika kwenye viwanja vya Sheikh Amri Kaluta Abeid Jijini Hapa leo |
![]() |
Maandamano yakiingia uwanjani |
![]() |
Wanafunzi wa kike wakiwa kwenye maadhimisho hayo kupinga Ndoa za utotoni zinazokatisha ndoto zao za kumaliza masomo. |
![]() |
Wakinamama wakiandamana wakiingia kwenye viwanja vya Sheikh Amri Kaluta Abeid kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani leo jijini Arusha |
![]() |
Maandamano yakiendelea |
![]() |
Wakinamama wakipata nafasi ya kucheza katika kusherehekea siku yao ya wanawake duniani |
![]() |
Mgeni Rasmi akipokea maandamano ya kinamama wa Jiji la Arusha kwenye maadhimisho ya siku ya kinamama duniani leo jijini Arusha. |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro na viongozi mbalimbali wakisoma mabango kwenye siku ya wanawake Jiji la Arusha Leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha |
![]() |
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye maadhimisho hayo ya siku ya wanawake |
![]() |
Merry kisaka Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha akiongea kwenye maadhimisho hayo jijini Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha. |