Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiondoka kwenye kituo cha Afya Kaloleni mara baada ya kumaliza kukagua kituo hicho picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akitoa maelekezo mara baada ya kukagua Mradi wa ujenzi wa Tanki lenye kuchukuwa ujazo wa Lita milioni 2 na nusu kwenye eneo la Ngarbob nje ya jiji la Arusha |
Sehemu ya Tanki la Olmot kama kilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha mwishoni mwa wiki picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa AUWSA Mhandisi Faustine Rujomba |
Sehemu ya Tanki la Maji la Olmot linavyoonekana kwa ndani kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha mwishoni mwa wiki picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwasili kukagua miradi ya sekta ya Afya na Maji kwenye Mradi mkubwa wa Maji unaotekelezwa na mamlakani ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Arusha AUWSA |
Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha Dkt.Maulid Madeni na Mkurugenzi Mtendaji wa AUWSA Mhandisi Faustine Rujomba. |
Tanki la Maji la Olmot ambalo linalisha maji kwenye maeneo ya Olasiti na Muriet |
Ukaguzi ukiendelea kwenye kituo cha afya Muriet mwishoni mwa wiki |
Sehemu ya kuoshea Maiti kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha kituo cha Afya Muriet kama kilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha mwishoni mwa wiki picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |