![]() |
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye ujenzi wa tenki mradi wa Kibaoni Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi |
![]() |
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mpimbwe, Catherine Mashala wakati wa ziara yake kwenye mradi wa maji wa Kibaoni. |
![]() |
Meneja wa RUWASA Wilaya ya Mlele, Mhandisi Gilbert Isaac (kushoto) na watendaji wengine wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (hayupo pichani)
|
![]() |
Muonekano wa Tenki la ujazo wa lita 300,000 juu ya mnara wa mita 12 la mradi wa maji wa Kibaoni katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi |
Na Mwandishi Wetu, Katavi