Matukio katika picha ufunguzi Mkutano Mkuu wa UTPC Leo 10 Disemba 2023Jijini Dodoma

washiriki wakifuatilia mkutano uliokuwa ukiendelea katika Makao Makuu ya UTPC Dodoma
Mgeni rasmi msemaji wa Serikali Mobhare Matinyi katikati akiwa na Rais wa UTPC Deo Nsokolo na Mkurugenzi Kenneth Simbaya wakiwa kwenye picha ya pamoja
Wajumbe wa bodi wakifuatilia mkutano
Watendaji wa UTPC wakifuatilia mkutano
Wajumbe wa Mkutano wakifuatilia mkutano 

 

This is received, thanks for your comments, will come back to you

Previous Post Next Post