Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini,
SACP David Misime akizungumza na wajumbe wa Taasisi ya Kutoa Elimu ya
Amani Tanzania hawapo pichani lengo likiwa ni kuwafundisha wajumbe hao
juu ya namana ya kukabiliana na wavunjifu wa amani na namna ya kutatua
matatizo yanayoweza kuwa na madhara makubwa kwa jamii kabla hayajatokea,
kikao hicho kilifanyikia eneo la Mbagara wilayani Temeke jijini Dar es
Salaam katika ukumbi wa Fimbo Hotel.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini,
SACP David Misime akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Taasisi ya
Kutoa Elimu ya Amani Tanzania njee ya ukumbi wa fimbo hotel na kushoto
kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho ya Jeshi la Polisi SACP Kiyondo
na kulia kwa SACP Misime ni Rais wa Taasisi hiyo Willison George. (Picha
na Jeshi la Polisi)